Ajali ya Hiace imeua watu 24 eneo la Uwanja wa ndege Kiwila Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.Name: IMG-20150417-WA0012.jpg Views: 0 Size: 86.7 KB ID: 244220" />
Wadau Niko eneo la tukio, mpaka sasa miili 22 imefanikiwa kutolewa. Kwani Hiace hii ilidumbukia mtoni na bado miili miwili imenaswa, ndo inatolewa muda huu.
Watu wawili tu ndio wamepona akiwemo kondakta. Ajali hii imetokea wakati Coaster zinazofanya safari zake kati ya Mbeya na Kyela kugoma hivo baadhi ya hiace za mjini kuamua kubeba abiria. Inaonekana ni ugeni Wa barabara, speed na gari kukosa break za kuaminika.
Inauma sana.
Picha 4 kutoka kwenye ajali ya gari iliyoua 19 Mbeya leo.
Ajali
za Tanzania kwenye vichwa vya habari zimezidi kuongezeka, leo April 17
2015 ajali nyingine imetokea Mbeya baada ya gari la abiria kupoteza
mwelekeo na kuingia mtoni Mbeya.
Taarifa zilizothibitishwa na kamanda wa Polisi Mbeya zinasema waliofariki mpaka sasa ni 19, endelea kukaa karibu na millardayo.com kwa taarifa zaidi.
0 comments:
Post a Comment