ASKOFU KILAINI AKIRI KUPOKEA MILIONI 80.5

By
Advertisement

Askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba Methodius Kilaini amekiri kupokea milioni 80.5 kutoka kwa James Rugemalira na akisema hii si mara yake ya kwanza kupokea fedha toka kwa mfanyabiashara huyo kwakuwa mara nyingi huwa anachangia kwa uwazi miradi ya jamiii. Na amesema michango inayopelekwa kwake haina siri hivyo washikwe wezi halisi sio yeye
Una lipi la kusema juu ya hilo?




0 comments:

Post a Comment

Pages