
.
Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ameshawasili 256 Uganda kumpa support Zari Hassan a.k.a
Zari The Bossladykwenye event yake ‘
All White CIROC Party’ itakayofanyika Des 18 Kampala.

Diamond akifanya mahojiano na waandishi wa habari baada ya kuwasili Uganda .

.

.

.

.

.

Diamond Platnumz akiwa na Zari baada ya kumaliza mahojiano na waandishi.

.

.

.

Zari na Diamond wakihojiwa na mwaandishi kutoka NTV.

.

.

.

.

Hili ndio gari lililombeba Diamond Platnumz kutoka Airport kuelekea Hoteli .


0 comments:
Post a Comment