TETESI: Eti Shilole hakwenda ubelgiji kufanya shoo kama alivyodai. Adaiwa kupelekwa kula bata na mzee mmoja mwenye pesa ya kutosha
Kweli mjini kuna mambo. Hivi majuzi mwanadada Shilole aliuga umma kuwa anaenda ubeligiji kupiga show ya muziki, lakini wachunguzi wa mambo wametutonya kuwa jambo hili si kweli bali mrembo huyu amepelekwa nchini ubeligiji kula bata tu na mzee mmoja hivi mwenye hela zake za kutosha, na show ilikuwa kama njia ya kuzuga wananchi tu ili mpango wake huo usijulikane kirahisi hasa na mpenzi wake Nuh mziwanda ambaye ameachwa nchini bila kujua nini kinaendelea.WACHUNGUZI WAMEJUAJE?
Wapasha habari hao wanadai kuwa, kawaida ya shilole akienda mahali kupiga show lazima kuwe na picha za kutosha juu ya tukio hilo, lakini safari hii akiwa huko ubelgiji ni picha zake tuu akiwa mitaani bila kujulikana hasa anafanya nini. Kwa wanaomfuatilia kwa karibu mwanadada huyo kwenye mitandao ya kijamii wanaweza wakatusadia kuhakikisha jambo hili
SIKU ALIYOSEMA ANAPIGA SHOW (JUMAMOSI TAR 29/11/2014)
MASWALI YA MSINGI?
Je ni kweli mwanadada huyo alienda kupiga show? Ama alienda kunoniihino na jamaa huyu aliyeamua kulisha bata ndefu ulaya? Kama lipiga show kweli, je show hiyo iliboa sana kiasi kwamba hawezi hata kuweka picha? Au hii ilikuwa show ‘binafsi’?
0 comments:
Post a Comment