NHIF YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA VIONGOZI WA SACCOS ZA WAJASIRIAMALI MANSIPAA YA ILALA
Mkugenzi
wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Rehan Athumani (katikati) akifungua
semina ya siku tatu Januari 21, 2015 jijini Dar es Salaam ya viongozi wa
SACCOS za wajasiriamali zilipo Mansipaa ya Ilala iliyoandaliwa na Mfuko
wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) lengo la semina hiyo kuwapa elimu
viongozi hao kuhusu Mfuko Taifa wa Bima ya Afya ili wapeleke ujumbe kwa
wanachama wa SACCOS waweze kujiunga na mfuko huo (kushoto) Afisa
Ushirika Mansipaa ya Ilala, Ladislaus Mwamanswao (kulia) Meneja wa CHF
Bima ya Afya, Costantine Makala.…

Bima ya Afya, Costantine Makala.
Afisa
Matekelezo wa NHIF, Godfrey Tumaini akiwakilisha mada yake kuhusiana na
mpango wa kikoa ambapo amesema mpango huo ni mpya na umeanzishwa kwa
malengo ya kukidhi haja ya kundi la watu wa kati ambao hawawezi
kujilipia bima kama watu binafsi na hawaridhiki kujiunga katika mfumo wa
CHF katika mfuko huo.
Afisa
Matekelezo NHIF Mansipaa ya Ilala, Hipoliti Lello akisisitiza jambo
wakati wa semina ya siku tatu Januari 21, 2015 jijini Dar es Salaam ya
viongozi wa SACCOS za wajasiriamali zilipo Mansipaa ya Ilala
iliyoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) lengo la semina
hiyo kuwapa elimu viongozi hao kuhusu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ili
wapeleke ujumbe kwa wanachama waweze kujiunga na mfuko huo.
0 comments:
Post a Comment