DUH!! MOSHI KAMA NEW YORK SASA!! JK AFUNGUA JENGO LA NSSF LA KITEGA UCHUMI MOSHI
NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi,Mkoani Kilimanjaro .
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mh.Gaudensia
Kabaka(watano kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhani Dau(wapili
kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama(wapili kushoto) pamoja
na viongozi na wadau wengine wakikata utepe kufungua rasmi jengo la
kitega uchumi la…
NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi,Mkoani Kilimanjaro .
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mh.Gaudensia
Kabaka(watano kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhani Dau(wapili
kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama(wapili kushoto) pamoja
na viongozi na wadau wengine wakikata utepe kufungua rasmi jengo la
kitega uchumi la NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi,Mkoani
Kilimanjaro.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhan Dau
pamoja na wadau wengine wakitazama ramani ya jengo jipya la kitega
uchumi la NSSF mjini Moshi Kilimanjaro Commercial Complex wakati wa
hafla ya ufunguzi.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na chipukizi wa
Tanzania Girl Guides wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo la kitega
uchumi la NSSF mjini Moshi.Tanzania Girl Guides,UMATI,Tanzania Red Cross
ni wadau wa NSSF katika mradi huo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mkurugenzi Mkuu wa NSSF
Dkt.Ramadhani Dau baada ya hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la kitega
uchumi la NSSF mjini Moshi.Katikati ni Waziri wa Kazi na Ajira
Mh.Gaudensia Kabaka(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment