Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Hani
Mominah baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo alikwenda ofisini kwa
Waziri Mkuu jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi balozi wa Saudi Arabia
Nchini, Mheshimiwa Hani Mominah baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo
alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es…
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Hani
Mominah baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo alikwenda ofisini kwa
Waziri Mkuu jijini Dar es salaam.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi balozi wa Saudi Arabia Nchini,
Mheshimiwa Hani Mominah baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo alikwenda
Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 13, 2015 kuaga.
Picha na ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment