Mwenyekiti wa CUF, Prof
Ibrahim Lipumba amekimbizwa leo Hospitali ya UN Clinic ya Kinondoni, Dar,
baada ya presha kushuka akiwa makao makuu ya polisi kujibu shutuma za
kuandamana jana.
(HABARI: DENIS MTIMA/GPL)
Mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba.
0 comments:
Post a Comment