LUDACRIS AFUNGA NDOA NA FAB MPENZI WAKE RAIA WA GABON
Mwanamuziki
Christopher Brian Bridges 'Ludacris' akiwa na mpenzi wake Eudoxie
Fabiola wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa. Eudoxie ni raia wa
Gabon.
Wanandoa hao wakiwa katika pozi la mahaba.
Ludacris na Eudoxie Fabiola wakiwa katika picha ya pamoja.
Mke wa Ludacris raia wa Gabon akiwa katika pozi siku yake ya harusi.
MWANAMUZIKI na mwigizaji Ludacris (37) sasa ni mume wa mtu, alifunga ndoa kwa siri katika msimu wa Sikukuu za Krismasi mwaka jana. Jumanne ya wiki hii wanandoa hao wameshare picha za harusi yao kupitia akaunti zao za mtandao wa Instagram na kuandika maneno haya “Why wait? Did the thing before 2015. #mrandmrsrbridges” aliandika Ludacris na mke wake naye aliweka picha na kuandika “#Weddingbliss Mr. & Mrs. Bridges”.-GPL
0 comments:
Post a Comment