TWAWEZA YAMUAGA RAKESH RAJAN JIJINI DAR
Balozi
wa Sweden nchini Tanzania,Mh. Lennarth Hjelmaker akizungumza wakati wa
hafla ya kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya
kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye
viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
Mbunge
wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akizungumza wakati wa
hafla ya kumuaga aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya
kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana jioni kwenye
viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza (aliemaliza muda wake), Rakesh Rajani (kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe (katikati) pamoja na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (Mstaafu),Ludovick Utouh wakati wa hafla fupi iliyofanyika jana jioni kwenye viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment