PINDA AAGANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI

By
Advertisement

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Hani Mominah baada ya mazungumzo yao.  Balozi huyo alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu  jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi balozi wa Saudi Arabia Nchini, Mheshimiwa Hani Mominah  baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es…
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Hani Mominah baada ya mazungumzo yao.  Balozi huyo alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu  jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi balozi wa Saudi Arabia Nchini, Mheshimiwa Hani Mominah  baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 13, 2015 kuaga. Picha na ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment

Pages