ZARI ATUPIA PICHA YA MREMBO ALIYEJICHORA JINA LA DIAMOND KWENYE NIDO
Zari ameamua kutupia picha hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram
akionyesha kuwa mpenzi wake anakubalika vilivyo miongoni mwa warembo.Wengi wa mashabiki wa Zari the Boss Lady wameonekana kuvutiwa na picha hiyo na kitendo cha mrembo huyo kuamua kuachia picha hiyo.
Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki baada ya Zari kuweka picha…
Zari
ameamua kutupia picha hiyo kwenye akaunti yake ya Instagram akionyesha
kuwa mpenzi wake anakubalika vilivyo miongoni mwa warembo.Wengi wa mashabiki wa Zari the Boss Lady wameonekana kuvutiwa na picha hiyo na kitendo cha mrembo huyo kuamua kuachia picha hiyo.
Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki baada ya Zari kuweka picha hiyo:
0 comments:
Post a Comment