Balozi
wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh akisalimiana na Mwandishi
wa Chanel Ten Said Makala Ofisini kwake alipowaita kwa lengo la kuwapa
nasaha Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa,
Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Jimbo la Al-Amerat mjini Mascut,
nchini Oman.
Mkuu wa Utawala Ubalozi wa Tanzania nchini Oman Abdallah Kilima kushoto akimkaribisha…
Balozi
wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh akisalimiana na Mwandishi
wa Chanel Ten Said Makala Ofisini kwake alipowaita kwa lengo la kuwapa
nasaha Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa,
Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Jimbo la Al-Amerat mjini Mascut,
nchini Oman.
Mkuu
wa Utawala Ubalozi wa Tanzania nchini Oman Abdallah Kilima kushoto
akimkaribisha Balozi wa Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed
Saleh kulia kutoa nasaha zake kwa Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja
ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Jimbo la
Al-Amerat mjini Mascut, nchini Oman. Katikati ni Mkuu wa Msafara wa
Watanzania hao Bi Khadija Batashy. Baadhi
ya Watanzania wanaoshiriki Maonesho ya mwezi mmoja ya Kimataifa ya
Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Jimbo la Al-Amerat mjini
Mascut, nchini Oman wakimsikiliza Balozi wa Tanzania nchini humo Bw. Ali
Ahmed Saleh alipokuwa akiwanasihi Washiriki hao.
0 comments:
Post a Comment