Hii ni mara ya pili kwa msanii Diamond Platnumz kualikwa ndani ya jumba la BBA akiwa na mwanamuziki kutoka Congo, Fally Ipupa
ambapo wameshiriki chakula cha mchana pamoja na washiriki waliobaki
kwenye Jumba hilo, safari hii wasanii hao wameingia kwa ajili ya
kuhamasisha ONE Campain ambayo inahusu kilimo, moja ya
Project zilizowahi kufanywa na Kampeni hiyo ni ile nyimbo ya Cocoa na
Chocolate ambayo wameshiriki pia mastaa wengine kibao kutoka Afrika.
0 comments:
Post a Comment