YANAYOJIRI BUNGENI HIVI PUNDE

By
Advertisement



‪#‎BUNGENI‬ Suleiman Nchambi: Aliyefungua kesi ni mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Kwanini tusimjadili na huyu mwanasheria wa CHADEMA?
Tundu Lissu: Wakili aliyefungua kesi ni mwana CCM na alihusika kumuua mkewe, ni mwenyeji wa Mpanda ingawa anafanya kazi na Marando
Bulaya: "Mimi Mbunge wa CCM siwezi kumlinda Waziri aliyekula hela wakati kuna wananchi wangu kule wanateseka
Taarifa rasmi ni kuwa hadi sasa bado Bunge halijapokea zuio lolote toka mahakamani kuacha kujadili ripoti ya ‪#‎TegetaEscrow‬
Bunge limesitishwa hadi jioni

0 comments:

Post a Comment

Pages