WANAMUZIKI 5 MATAJIRI TANZANIA .WATOKANAO na MUZIKI wa BONGO FLEVA
1. LADY JAY DEE
NI MSANII MWENYE HESHIMA SANA TANZANIA KUTOKANA NA
KUJIHESHIMU KWAKE,KAPATA MAFANIKIO SANA KATIKA KAZI ZAKE ZA MUZIKI NA KUWEZA
KUWA MFANO WA KUIGWA KWA WASANII WENGINE.KWANI UCHAPA KAZI WAKE NDO SABABU YA MAFANIKIO
YAKE KIMAISHA.
MALI ANAZOMILIKI NI PAMOJA NA -GARI AINA YA MURANO THAMANI
YA
TSH.MIL 45, BASI AINA YA COSTA TSH.MIL.30, PRADO, NYUMBA
NZURI YA KISASA,PAMOJA NA MGAHAWA WA NYUMBANI LONGE WENYE THAMANI YA ZAIDI YA
TSH.MIL.150 PIA ALIANZISHA MAJI YAKE YA JAY DEE AMBAYO BAADAYE YALIZUIWA.
NYUMBANI LONGE KWA NDANI
|
|
MAJI YA JAYDEE
NYUMBA YA KISASA YA JAYDEE
BASI LA MACHOZI BAND INAYOMILIKIWA NA JAYDEE
2. DIAMOND
NI MSANII ALIYE LETA MAPINDUZI
MAKUBWA KATIKA MUZIKI HASAHASA KATIKA SHOW ZA STEJINI YAANI LIVE PERFORMANCE
.NI MSANII ANAYE LIPWA PESA NYINGI KWA SASA TANZANIA KWA SHOW MOJA ANAYO
FANYA.PIA NI MSANII MWENYE SHOW NYINGI KWA MWEZI KULIKO WOTE,.HII IMECHANGIA
KUWEZA KUPATA PESA NYINGI KATIKA MDA MFUPI.ANAMILIKI NYUMBA
KADHAA,VIWANJA,MAGARI,MADUKA.
GARI ANAYO MILIKI YENYE THAMANI YA
TSH.MIL 60
|
GARI ALIYO KUWA ANATEMBELEA MWANZO
|
3.AY
AY NI MSANII
MKIMNYA SANA NA HUWA HAWEKI MAMBO YAKE HADHARANI SANA HASAHASA YA MAISHA
YAKE.LAKINI NI MSANII MWENYE PESA NYINGI KUTOKANA NA KUFANYA SHOW NYINGI ZA
KIMATAIFA ZINAZO MPATIA PESA NYINGI.ANAMILIKI MAGARI,ANA DUKA LA NGUA,PIA ANA
NGUO ZAKE MAALUMU ZENYE NEMBO YA JINA LAKE.
4.PROF J
NGULI WA MUZIKI WA
BONGO FLEVA TANZANIA,ANAFANYA SHOW NYINGI ZA NJE,NI MSANII AALIYE DUMU KWA MDA
MREFU,ANAMILIKI NYUMBA YA KISASA YA ZAIDI YA TSH.MIL 100, ANAMILIKI GARI,MASHAMBA
PROF J
NYUMBA ANAYOMILIKI
GETINI
GARI ANAYOMILIKI
KWA NJE
5.JUMA
NATURE
MSANII WA SIKU NYINGI KATIKA GEMU,KWA JINA JINGINE NI MKONGWE KATIKA MUZIKI WA TANZANIA HUU WA KIZAZI KIPYA,ANAMILIKI GARI,MASHAMBA,PIA NI MFANYA BIASHARA ,ANAMILIKI NYUMBA
0 comments:
Post a Comment