MSANII wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ ameonekana kama anajipoza machungu kwa kugeuza paka kuwa kama mtoto wake kwa kumpakata na kumtunza kama binadamu.
Akipiga stori na gazeti hili, Amanda alisema amefikia hatua hiyo kutokana kwa sababu anapenda sana watoto hivyo kwa kuwa hajajaliwa kuwapata ndiyo maana ameamua kumtunza paka huyo mdogo mwenye miezi miwili ambapo anampa mahitaji muhimu ikiwa ni pamoja na kumpakata kama mtoto.
“Jamani haka ndiyo kabebi kangu ninakapenda sana na kakipigwa huwa naumia mno, ni ka kike kana…
Na Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda
MSANII wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ ameonekana kama anajipoza machungu kwa kugeuza paka kuwa kama mtoto wake kwa kumpakata na kumtunza kama binadamu.
Akipiga stori na gazeti hili, Amanda alisema amefikia hatua hiyo kutokana kwa sababu anapenda sana watoto hivyo kwa kuwa hajajaliwa kuwapata ndiyo maana ameamua kumtunza paka huyo mdogo mwenye miezi miwili ambapo anampa mahitaji muhimu ikiwa ni pamoja na kumpakata kama mtoto.
“Jamani haka ndiyo kabebi kangu ninakapenda sana na kakipigwa huwa naumia mno, ni ka kike kana miezi miwili, huwa kananifariji sana ila soon tu namuomba Mungu atakuja orijino kabisa,” alisema Amanda.
0 comments:
Post a Comment