SLIM APANDISHWA KIZIMBANI

By
Advertisement

Msanii wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’.
Na Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda
BAADA ya ndoa kuvunjika, msanii wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’ amedaiwa kupandishwa mahakamani baada ya mkewe, Asia kudai talaka.
Chanzo makini kilisema kwamba, Slim alipandishwa kizimbani Jumatatu wiki hii katika Mahakama ya Mwanzo-Magomeni jijini Dar kwa madai ya talaka.
Baada ya kuzipata habari hizo gazeti hili lilimtafuta Slim ambapo alikuwa na haya ya kusema:

“Ni kweli nimepelekwa mahakamani na kesi itatajwa tena Januari 28, mwaka huu na madai yaliyonipeleka ni aliyekuwa mke wangu anahitaji talaka, ukweli inaniuma sana lakini basi namwachia…
Msanii wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’.
Na Gladness Mallya/Ijumaa Wikienda
BAADA ya ndoa kuvunjika, msanii wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’ amedaiwa kupandishwa mahakamani baada ya mkewe, Asia kudai talaka.
Chanzo makini kilisema kwamba, Slim alipandishwa kizimbani Jumatatu wiki hii katika Mahakama ya Mwanzo-Magomeni jijini Dar kwa madai ya talaka.
Baada ya kuzipata habari hizo gazeti hili lilimtafuta Slim ambapo alikuwa na haya ya kusema:
“Ni kweli nimepelekwa mahakamani na kesi itatajwa tena Januari 28, mwaka huu na madai yaliyonipeleka ni aliyekuwa mke wangu anahitaji talaka, ukweli inaniuma sana lakini basi namwachia Mungu.”

0 comments:

Post a Comment

Pages