MAMBO AMBAYO HUKUYAJUA KUHUSU STAA WA NOLLYWOOD ALIYEFARIKI, MUNA OBIEKWE
Alikuwa muoga wa waandishi wa habari
Muna hakuwa tayari kujitokeza hadharani kuomba kuchangishiwa fedha kwa kuwa alikuwa muoga wa kuonekana kwa…
Muna hakuwa tayari kujitokeza hadharani kuomba kuchangishiwa fedha kwa kuwa alikuwa muoga wa kuonekana kwa…
Alikuwa muoga wa waandishi wa habari
Muna hakuwa tayari kujitokeza hadharani kuomba kuchangishiwa fedha kwa kuwa alikuwa muoga wa kuonekana kwa waandishi wa habari na alipenda maisha yake binafsi yasijulikane.
Muna hakuwa tayari kujitokeza hadharani kuomba kuchangishiwa fedha kwa kuwa alikuwa muoga wa kuonekana kwa waandishi wa habari na alipenda maisha yake binafsi yasijulikane.
Inaelezwa kuwa alikuwa akinywa pombe sana licha ya kuwa daktari alimkataza kufanya hivyo. Alikuwa akijihudumia mwenyewe bila msaada wa watu wengine, lakini baadaye siku za mwisho za uhai wake alipata msaada mkubwa kutoka kwa Patience Ozokwor na Kanayo O.
Alimfuata Ibinabo Fiberesima
Licha ya kuwa alikuwa mtu aaibu sana, siku za mwisho za uhai wake aliwasiliana na muigizaji wa kike wa Nollywood, Ibinabo Fiberesima lakini hakuwa na msaada kwa kuwa alifariki siku chache baadaye.
Muna alijua tatizo lake siku nyingi
Alijua tatizo hilo siku nyingi lakini inaelezwa kuwa alijua atalitatua kimya kimya, aliyapuuzia maumivu aliyokuwa akiyasikia.
Muna alikuwa na mke na watoto wawili
Wengi hawakujua lakini alikuwa ni baba wa familia na mwenye watoto wawili.
0 comments:
Post a Comment