Meneja wa Mbuga ya
wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya
injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na
Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri huyo alipofika katika mbuga
hiyo, kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kupokeavifaa vya kukabiliana
na ujangili vilivyotolewa na serikali za Marekani na Ujerumani kwa ajili
ya Mbuga ya Selous leo…
WANANCHI WA MAENEO YA MIRADI YA MAJI WATAKIWA KUTOZEMBEA KUJADILI MAENDELEO YA MIRADI
Posted by GLOBAL on January 22, 2015 at 11:22am
0 Comments
0 Likes
Kiongozi
wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Amina
Makilagi, akieleza jambo wakati alipowasili kwenye ofisi za Halmashauri
ya Wilaya ya Lindi tayari kukagua miradi ya maji.Kushoto ni Mkuu wa
wilaya ya Lindi Nassor Himid na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya
Lindi Mathei Makwinya.

0 comments:
Post a Comment