Naibu
Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akiwahutubia mamia ya
vijana baada ya kupokea matembezi ya mshikamano na kufanya mkutano wa
hadhara kwenye vianja vya Magogoni Kwa Mabata mjini Zanzibar leo kwa
ajili ya kupongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa
CCM Zanzibr Dr. Ali Mohamed Shein aliyoitoa tarehe 12/1/2015 katika
viwanja vya Amani mjini Zanzibar.…

viwanja vya Amani mjini Zanzibar.
Umati wa vijana ukiwa kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye viwanja wa vya Magogoni kwa Mabata.
Umati wa vijana kutoka mikoa mbalimbali ukiwa kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye viwanja wa vya Magogoni kwa Mabata.
Mwenyekiti wa CCM Mjini Ndugu Borafya Silima akiwahutubia vijana na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo.
Baadhi ya vijana wakiwasili katika viwanja vya Magogoni Kwa Mabata kwa matembezi ya mshikamano.
Vijana kutoka majimbo mbalimbali wakiwa wamekaa katika mkutano huo.
0 comments:
Post a Comment