ONA JINSI ENDLESS FAME NA WEMA SEPETU WALIVYOPAGAWISHA WAKAAZI WA DODOMA NA MOROGORO
Siku ya mkesha wa mwaka mpya kulifanyika Bonge la Party ndani ya Ukumbi
wa Matei lounge ambapo team nzuma ya Endless Fame walikinukisha pande
hizo huku kukiwa na maelfu ya wakazi wa Dodoma waliohudhuria Party
hiyo..
Yaaani ilikuwa ni balaa tupu.
Wema sepetu akiwa na Erick Mshana Meneja wa Boss Ngasa Tz
Eti mnasemaje.....
Mama Kijacho akivishwa viatu na shoti wake
NAKO MJI KASORO BAHARI MAMBO YALIKUWA KAMA HIVI
Hawa hapa mtu na shosti wake tayari kwa kuwasha moto jiji la Morogoro
Mirror
Madaam ndani ya New Maisha Club Moro
Ally Luna akiwa kazini
Petitman Wakuache akifanya yake ndani ya New Maisha Club Moro
Mirror with Team Ally luna ndani ya New Maisha Club Moro...
Team nzima ya Endeless Fame haikuweza kuondoka Morogoro bila ya kutembelea kaburi la marehemu Mangwair Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi Ameen
0 comments:
Post a Comment