RAHA YA SHEREHE YA MAPINDUZI ZANZIBAR JANUARI

By
Advertisement

RAHA YA SHEREHE YA MAPINDUZI ZANZIBAR JANUARI 

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akikagua gwaride la vikosi mbali mbali vya kijeshi wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,yaliyofanyika  leo Januari 12, 2015 kwenye uwanja wa Amani,Zanzibar.
Sherehe hizo zilizokuwa za aina yake  ambapo Rais Shein  mara alipowasili alipogiwa mizinga 21 na kukagua gwaride  la vikosi vya ulinzi na usalama vya Jamhuri ya Mungano na badaye  kulipokea gwaride la vikosi hivyo  viliyoongozwa na  Luten kanali Adam ambayo vilipita  kwa mwendo wa pole pole na badaye kupita kwa mwendo wa kasi  na baadaye  kipitakikosi cha makomandoo wa vita.

0 comments:

Post a Comment

Pages