SHILINGI BILIONI 29,995,000,000 ZINAWASUBIRI WATEJA WA VODACOM KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS
Meneja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kualia)akiongea na
waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kuchezesha droo ya sita ya
promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo iliyofanyika
leo,ambapo jumla ya wateja 947 wamejishindia muda wa maongezi na wateja
watano wamejishindia shilingi Milioni 1/- kila mmoja kutoka kushoto ni
Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha,Mrisho Millao na Meneja wa
huduma za ziada wa kampuni hiyo Mathew Kampambe.Ili mteja kujua kama
ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.…
Meneja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kualia)akiongea na
waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kuchezesha droo ya sita ya
promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo iliyofanyika
leo,ambapo jumla ya wateja 947 wamejishindia muda wa maongezi na wateja
watano wamejishindia shilingi Milioni 1/- kila mmoja kutoka kushoto ni
Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha,Mrisho Millao na Meneja wa
huduma za ziada wa kampuni hiyo Mathew Kampambe.Ili mteja kujua kama
ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Meneja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kualia)akifafanua
jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kuchezesha droo
ya sita ya promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo
iliyofanyika leo, ambapo jumla ya wateja 947 wamejishindia muda wa
maongezi na wateja watano wamejishindia shilingi Milioni 1/- kila mmoja
kutoka kushoto ni Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha,Mrisho
Millao na Meneja wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Mathew Kampambe.Ili
mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika droo ya droo
ya sita ya promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na kampuni hiyo
iliyofanyika leo, ambapo jumla ya wateja 947 wamejishindia muda wa
maongezi na wateja watano wamejishindia shilingi Milioni 1/- kila
mmoja.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda
15544.
Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom
Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions kwa kutuma
ujumbe wenye neno JAY kwenye namba 15544 ili kujua kama iwapo namba zao
zimeibuka na ushindi katika droo inayofanyika kila siku.
Akiongea baada ya kumalizika kwa droo ya sita ya promosheni hiyo ambayo ilifanyikiwa kupata washindi wa muda wa maongezi kufikia idadi ya 947 na kutokufanikiwa kupata mshindi wa fedha taslimu na kubakia na idadi ileile ya washindi watano waliojishindia shilingi Milioni moja moja kila mmoja,Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu amesema kuwa kila mteja wa Vodacom anashirikishwa katika promosheni hii na anachotakiwa kufanya kutuma ujumbe wa kujua kama ameibuka kuwa mshindi wa siku.
“Mfumo wa promosheni hii kila namba ya mteja wa Vodacom inashirikishwa kinachotakiwa ni kutuma ujumbe yaani kucheki kujua kama wameshinda ili wasipoteze bahati zao, mpaka sasa kuna wateja watano wamejishindia shilingi milioni moja kila mmoja na wengine 947 wamejishindia muda wa maongezi”.Alisema.
Nkurlu aliongeza kusema kuwa bado kuna Shilingi Bilioni 29,995,000,000/= za promosheni hii inayoendelea ya Jaymillions zikiwasubiria wateja wa Vodacom na watanzania kwa ujumla wanaoshiriki katika promosheni hii. Promosheni hii itafanyika kwa siku 100 mfululizo na Vodacom imepanga kutoa mshindi mmoja wa Sh. 100m/-, washindi kumi wa Sh. 10m/- na washindi thelathini wa Sh. 1m/- KILA SIKU kwa siku mia moja! Pia washindi elfu kumi watapokea muda wa maongezi wa bure wenye thamani ya Sh. 1000/-
Alimalizia kwa kusema kuwa mara tu ujumbe huu unapotumwa, mteja atapokea ujumbe mfupi utakaomjulisha kama ameshinda na ikiwa hajashinda siku hiyo atajulishwa hivyo na kuambiwa ajaribu tena siku inayofuata. “Kila SMS inagharimu Sh. 300/- tu”.Alisema
Mwisho

0 comments:
Post a Comment