WAZIRI CHIKAWE AWAAPISHA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA TUME YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA JIJINI DAR
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimuapisha Afisa wa
Jeshi la Magereza, Elmas Linus Mgimwa kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya
Tume ya Jeshi la Polisi na Magereza inayoshughulikia masuala ya Utumishi
na Utendaji wa askari wa majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara hiyo
jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Waziri Chikawe ni Naibu Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima, na katikati ni Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil.…

Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimpa hati ya kiapo
Afisa Utumishi wa wizara hiyo, Ernest Maalugu kuwa Mjumbe wa
Sekretarieti ya Tume ya Jeshi la Polisi na Magereza inayoshughulikia
masuala ya Utumishi na Utendaji wa askari wa majeshi hayo, katika Ukumbi
wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima, na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo, Mbarak Abdulwakil.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia-meza kuu) akiongoza kikao cha Tume ya Jeshi la Polisi na Magereza inayoshughulikia masuala ya kiutumishi na kiutendaji wa askari katika Majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam. Kushoto Meza Kuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Pereira Ame Silima. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

0 comments:
Post a Comment