ALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE

By
Advertisement


Mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe wakati akihojiwa na Global TV Online leo.
Malick akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wakati akihojiwa na Global TV Online.…
Mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe wakati akihojiwa na Global TV Online leo.
Malick akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari wakati akihojiwa na Global TV Online.
Malick akipozi na Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist.
Malick akiwa na mpiga picha wa Global, Musa Mateja.
Malick akiwa katika picha ya pamoja na Clarence Mulisa, Mkuu wa Kitengo cha IT Global.
Malick akipozi na Mwandishi Mwandamizi wa Magazeti ya Championi, Nicodemus Jonas.
Malick akipiga saluti katika studio za Global TV Online baada ya mahojiano.
ALIYEKUWA mchumba wa staa wa filamu za Kibongo, Rose Naduka, mwanamuziki Chiwa Malick Bandawe leo ametembelea ofisi za Global Publishers Ltd zilizopo Mwenge-Bamaga jijini Dar na kufanya mahojiano na Global TV Online.
Malick ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa Kundi la Bongo Fleva la TNG amefunguka vitu kibao akianza na muziki, maisha yake, mahusiano na mipango yake ya baadaye.
Katika mahojiano hayo ambayo yataruka hivi karibuni kupitia Global TV Online, Malick amefunguka sababu ya kuachana na mchumba wake wa muda mrefu Rose Ndauka ambaye amezaa naye mtoto mmoja wa kiume.
Mwanamuziki huyo baada ya kuachana na mpenzi wake huyo, kwa sasa anaendelea na maisha yake kama kawaida. Kujua zaidi, usikose kusoma magazeti ya GPL, tovuti hii na WWW.GLOBALTVTZ.COM

0 comments:

Post a Comment

Pages