MANAIKI: SIJAKATA TAMAA KUMUOA WALPER
Shani Ramadhani/UwaziMSANII filamu za Kibongo, Manaiki Sanga amefungukai kuwa hajakata tamaa kumuoa msanii mwenzake, Jacqueline Walper na kwamba bado anaendelea kuwashawishi wazazi wake.
Akichezesha taya na Uwazi, Manaiki aliweka wazi kuwa bado anawashawishi wazazi wake wakubaliane na uchaguzi wake kwakuwa ndiye mtu anayempenda.
“Ni upande mmoja tu wa ndugu zangu ambao wapo kijijini…
Shani Ramadhani/Uwazi
MSANII filamu za Kibongo, Manaiki Sanga amefungukai kuwa hajakata tamaa kumuoa msanii mwenzake, Jacqueline Wolper na kwamba bado anaendelea kuwashawishi wazazi wake.
Akichezesha taya na Uwazi, Manaiki aliweka wazi kuwa bado anawashawishi wazazi wake wakubaliane na uchaguzi wake kwakuwa ndiye mtu anayempenda.
“Ni upande mmoja tu wa ndugu zangu ambao wapo kijijini Mbeya na hawamfahamu Walper ila sijakata tamaa na naamini watanielewa tu kwa maaana ndoto yangu mimi ni kumuoa mtu ambaye ninampenda,” alisema Manaiki.
Hivi karibuni Manaiki alitangaza nia ya kumuoa Walper ambapo wazazi wake walimkatalia na kumwambia atafute msichana wa kutoka mkoa wake.
0 comments:
Post a Comment