Duh basi bana ndo hivo hizi picha ni za rihana na ndo zitatumika
katika gazeti la Esquire magazine UK ambalo linatarajiwa kutoka mwezi wa
12 mwaka huu. picha nyingi katika hizi Rihana anaonekana akiwa hajavaa
nguo ya Juu. Picha hizi zimezua gumzo sana instagram kwa watu kuziongeea
sana. Ikumbukwe kua akaunti ya rihana ya Instagram imefunguliwa juzi
juzi tu ikiwa ni baada ya Instagram kuifunga chanzo kikiwa ni kupost
picha zisizo na maadili…..
0 comments:
Post a Comment