MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WASUSIA KIKAO CHA BAJETI

By
Advertisement

Mstahiki Meya akizungumzia msimamo wake juu ya hatua ya wajumbe wa baraza hilo kutoka nje ya ukumbi wa mikutano wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo ,Shabani Ntarambe kujihusisha katika uporaji wa Viwanja.
Diwani wa kata ya Kaloleni ,Michael Mwita (CCM) akizungumza juu ya kitendo cha madiwani wenzake kutoka nje huku wakimtuhumu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuhusika…
Mstahiki Meya akizungumzia msimamo wake juu ya hatua ya wajumbe wa baraza hilo kutoka nje ya ukumbi wa mikutano wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo ,Shabani Ntarambe kujihusisha katika uporaji wa Viwanja.
Diwani wa kata ya Kaloleni ,Michael Mwita (CCM) akizungumza juu ya kitendo cha madiwani wenzake kutoka nje huku wakimtuhumu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuhusika katika uporaji wa viwanja vya halmashauri hiyo.
Diwani wa kata ya Kiusa ,Stephen Ngasa akiongozana na mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo kutoka nje ya ukumbi huo.

0 comments:

Post a Comment

Pages