Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimfafanulia
jambo Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Damien
Thuriaux alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kiongozi
huyo wa IOM alifika ofisini kwa Waziri Chikawe kwa lengo la
kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya wahamiaji pamoja
na ushirikiano kati ya Wizara na shirika hilo.…
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimfafanulia
jambo Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Damien
Thuriaux alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kiongozi
huyo wa IOM alifika ofisini kwa Waziri Chikawe kwa lengo la
kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya wahamiaji pamoja
na ushirikiano kati ya Wizara na shirika hilo.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza kwa
makini Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) nchini, Damien
Thuriaux alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kiongozi
huyo wa IOM alifika ofisini kwa Waziri Chikawe kwa lengo la
kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya wahamiaji pamoja
na ushirikiano kati ya Wizara na shirika hilo.
0 comments:
Post a Comment